Asante sana kwa neno nilipoona huu Mstari umeflash juu ya Uzi ukanibariki ukanifanya niingie humu,nawasalimu makapuku wote .....siku hizi bize Hata kuingia humu imekuwa shida,Hongereni sana Uzi mnautendea haki[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye dimbwi la majitaka
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Amen mpendwa wangu, kitambo sana hujaonekana, barikiwa sanaAsante sana kwa neno nilipoona huu Mstari umeflash juu ya Uzi ukanibariki ukanifanya niingie humu,nawasalimu makapuku wote .....siku hizi bize Hata kuingia shida humu shida,Hongereni sana Uzi mnautendea haki[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nitajitahidi nionekane.....barikiwa nawe pia.Amen mpendwa wangu, kitambo sana hujaonekana, barikiwa sana
AmenNitajitahidi nionekane.....barikiwa nawe pia.
ShukraniSalama kiongozi
Timu Argentina pole yao sana, wamefungwa na wachovu wenzao