Hata mwaka huu mtu akishindwa atakubali na maisha yataendeleaKweli mkuu...Lakini pia Nixon pamoja na kushindwa hakukata tamaa mpaka alipokuja kushinda miaka 8 mbele.
Huyu nae alisumbua sana
Chicharito
.......
ClintonHuu wa sasa kuna mtu ataachwa kwa gap kubwa kidogo nadhani unamjua...
Hello KitabuHi guyz
Poa mkuu, habari ya pande hizo?Mkuu mambo!
Ni kweli kabisa, hata wao wenyewe tu baadhi ya majimbo yanatofautiana mudaKumbuka tofauti ya muda kwetu na USA ni km Massa 6 sisi yupo mbele hivyo muda huu kwao bado hawajaamka na kupiga kura
........
Nilidhani inatokea kwangu tu hii kitu..Nmekuwa sipati notification kabisa, sasa sijui ni uninstall jf alaf nii-download tena?
Porini huku ndugu hata network ya kusuasuaMara chache ndg
Kwema tu ankaliNzuri tu, vp huko
Duh!! Kwanini??Akishinda domokaya Trump sitafuatilia siasa za USA
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Hahahah hapa ni undava tu kwa kwenda mbele.. Lubuva ana uwezo wa kubadili gia angani,nchi ya maajabu hiiBado, ungekuwa huku kwetu Lubuva angekuwa man of the match.
Milembe pamekubana sana aiseeHi guyz
Vipi mkuu , habari za muda?Duh!! Kwanini??
Mpaka Leo Kuna kesi nyingi tu za kupinga matokeoHata mwaka huu mtu akishindwa atakubali na maisha yataendelea
Tatizo Afrika njaa Kali
Ubunge tu watu hawakubali
......
Pamoja sanaKwema tu ankali
Kwema mkuu, umeadimika sanaVipi mkuu , habari za muda?
Nmeifuta na kuidownload tena, ila naona tatizo liko pale paleSasa imekubali
wenzio wanasema urudi huku.Milembe pamekubana sana aisee
Mimi kwangu iko poa kabisa tangu asubuhiNmeifuta na kuidownload tena, ila naona tatizo liko pale pale