Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Poa sana,Niajezzz??
Hivi nyie wote leo mnapata hili tatizo la notification zinakuja moja kwa moja kwenye email badala ya kwenye application??
Kama kuna mwenye namba ya mods naomba anipe niwapigie now tafadhali???
