Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Aisee Joe Cole ni handsome mno
Aisee Joe Cole ni handsome mno
Je unaweza kufanana na huu wa sasaLeo katika Historia:
1960 - John F. Kennedy anamshinda Richard Nixon katika uchaguzi mkuu wa Marekani.
Ni moja kati ya Chaguzi zilizovuta hisia za wengi kwani John F. Kennedy alishinda kwa tofauti ndogo sana.
Ukocha aliukataa1957 - Alan Curbishley anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chalton Athletics, West Ham United na sasa ni mchambuzi wa soka.
Huu wa Clinton na Trump? Mi naona vile kina Clinton watakavyojitahidi kuchakachuaJe unaweza kufanana na huu wa sasa
Leo ni siku ya wachezaji1989 - Morgan Schneiderlin anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Mi pia nna muda mrefu sana sijapata notificationNmekuwa sipati notification kabisa, sasa sijui ni uninstall jf alaf nii-download tena?
Asante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolinLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na siku njema.
Nzuri tu, vp hukoNi poa sana ankali, habari ya daslam?
Hilary atashindaKumbuka tofauti ya muda kwetu na USA ni km Massa 6 sisi yupo mbele hivyo muda huu kwao bado hawajaamka na kupiga kura
........
Sasa imekubaliNmekuwa sipati notification kabisa, sasa sijui ni uninstall jf alaf nii-download tena?
Asante sana kwa historia
Magazeti hayatakuwepo siku ya Leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu

Ngoja tuoneHuu wa Clinton na Trump? Mi naona vile kina Clinton watakavyojitahidi kuchakachua
Aaah wapiHilary atashinda
Subiri tuone mwisho wakeAaah wapi
[HASHTAG]#TeamTrump[/HASHTAG]
Akishinda domokaya Trump sitafuatilia siasa za USASubiri tuone mwisho wake
Vipi kuhusu Theo WalcottAisee Joe Cole ni handsome mno
Wkt Tz nzima tunatumia One Time Zone .....nchi yetu ina umbo la kusimama(urefu) wkt marekani umbo la kulala(upana)Ni kweli na majimbo mengine tunatofautiana masaa 8
