Sasa kilichokua kinafika kwenye email ni notifications tu ama na post kabisa?Hahahahahaha
Imeanza leo.
Notification zilikata siku chache zilizopita ila nikapuuzia sasa Leo mchana nikashangaa kila sana kuna email mpya nikicheki nakuta ni ya JF yani ilinikera mno. Sasa nimewareport kuwa ni spam
Aisee![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Mzima dadake!Wewe kiboko![]()
MzimaMzima dadake!
Notification na post kabisa ukiamua kuifungua unaionaSasa kilichokua kinafika kwenye email ni notifications tu ama na post kabisa?
Nami mzima nashukuruMzima
Za wewe?
Sioni kosa lake km ni gari dogo si kaletewa tena size ya mwishoAisee
Poa, niajeee weweZa jioni familly
Ni ko full. Za midaPoa, niajeee wewe
Nzuri kabisaNi ko full. Za mida