briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Na leo vipi bado hajashinda mtu huko kati ya trump na yule mama?Leo katika Historia:
1960 - John F. Kennedy anamshinda Richard Nixon katika uchaguzi mkuu wa Marekani.
Ni moja kati ya Chaguzi zilizovuta hisia za wengi kwani John F. Kennedy alishinda kwa tofauti ndogo sana.


