Makapuku Forum

Makapuku Forum

Weka picha yake kwanza ili tuongee kwa vitendo
9430eb7a1b53d6b46c308ce3f8b521ae.jpg
806e6e36b567df37bbbb791874ba312f.jpg
 
Wote tunatumia muda mmoja
Ina maana taarifa ya habari ITV wanaona SAA 1 kwa saa zao ?

Ninachojua tunatofautiana muda wa jua kuzama/kuchomoza sehemu nyingi tu Tz lakini wote tunatumia One Time Zone
...........
Ukitaka kujua nenda na smartphone, ukifika Ngara inarudi saa moja nyuma au manyovu kigoma
 
Back
Top Bottom