Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante sana mwenyekiti naomba nikuwekee picha ya mdhaminiLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Ibra Cadabra niwatakie wiki njema.
Manake sio kwa mbwembwe hizo

Asante sana mwenyekiti naomba nikuwekee picha ya mdhaminiLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Ibra Cadabra niwatakie wiki njema.

Labda keshoAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ
Ila udhamini ingekuwa Africa lyon![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
R I P samwel sita
R I P Sitta2016 - Samwel Sitta anafariki Dunia.
Alikuwa ni spika wa Bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alifahamika zaidi kama Mzee wa Viwango.
Asante kwa picha mkuuShukrani kwa historia
Hahaha...kama ScorpionAsante sana mwenyekiti naomba nikuwekee picha ya mdhamini
View attachment 430442
Manake sio kwa mbwembwe hizo![]()
![]()
![]()
Hongera sana kwa ushindiNawasalimu nyote humu
Harakati za pimbiWazembe mpo?![]()
Nawasalimu ktk jina la Pimbi
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Kikosiiii jiki hakina siasa ni ukweli mtupuuu![]()
Team of the week
..........
We ni beki???1978 - Rio Ferdinand anazaliwa.
Beki wa zamani wa West Ham, Leeds United, Man Utd, QPR na timu ya taifa England.
Alisifika kwa matumizi makubwa ya akili na uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo.
Klabuni Man Utd alitengeneza kombinesheni ya hatari na Nemanja Vidic.
Ametwaa mataji 6 ya EPL na klabu bingwa ya Ulaya mwaka 2008.
Ni role model wangu na moja kati ya mabeki niliokuwa nawakubali.
Thanks MussoLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Ibra Cadabra niwatakie wiki njema.
Wapi OzilKikosiiii jiki hakina siasa ni ukweli mtupuuu
Hongera sana kwa ushindi
unaelekea ulikuwa unanisubiri kwa hamu.Una mbwembwe km Ngedereunaelekea ulikuwa unanisubiri kwa hamu.
Sihitaji pongezi yako ya kinafiki