Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJView attachment 430336View attachment 430337View attachment 430338
Naitwa Jimena Jimenes na kufikia hapo basi ndio nimemaliza
Shukrani za dhati kwa udhamini mnono kutoka kwa Zlatan Ibrahimovic muite IbraCadabra
Nawatakia wiki njema yenye mafanikio tele
Na kwako piaAsubuh njema wapendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]quote of the day![]()
Honestly everything is very good hereMorning Quigley....how's everything going with you?
AmenPoa poa... Michakato myema nawewe pia
Poa kabisaZa aaubuhi family
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu kibokoLeo katika Historia:
1944 - Franklin D. Roosevelt anachaguliwa kwa mara ya nne kuwa Rais wa Marekani.
Rekodi ambayo inasimama mpaka leo.