Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1944 - Franklin D. Roosevelt anachaguliwa kwa mara ya nne kuwa Rais wa Marekani.

Rekodi ambayo inasimama mpaka leo.
448aedd46d79d8475dc2d5e6a24325fe.jpg
f5ea89f8824954613e33f2cbedbd46a9.jpg
 
1978 - Rio Ferdinand anazaliwa.

Beki wa zamani wa West Ham, Leeds United, Man Utd, QPR na timu ya taifa England.

Alisifika kwa matumizi makubwa ya akili na uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo.

Klabuni Man Utd alitengeneza kombinesheni ya hatari na Nemanja Vidic.

Ametwaa mataji 6 ya EPL na klabu bingwa ya Ulaya mwaka 2008.

Ni role model wangu na moja kati ya mabeki niliokuwa nawakubali.
67b00d3b437c3d64d8223004c1a6b5df.jpg
9f267945f2283cbc21996990671fa570.jpg
33184e75ac67a1ec80914c4d4ded90ce.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom