Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
AmenHakika na tufanye hivyo
AmenHakika na tufanye hivyo
Mukongo vpHi!!!
KwemaPoa kabisa, vp pande hizo
Sijakuona kama siku Tatu hivi
Natamani sana niwepo lakini nimetaitika hadi nafurahi, muda umekuwa mdogo, siku nazo ni fupi hata sikamilishi majukumu ya kila siku, leo kidogo napumua nina ka uhuru kidogoPoa kabisa, vp pande hizo
Sijakuona kama siku Tatu hivi
Umekuwa ngosha!!Nakula ugali mgumuuuuu
Acha hizoAf wewe mla kambale wewe!!!
Wiki hii wengi tumebanwaBaada ya masaa mawili hivi nitaungana nawe mpaka majogoo
HaaaahaaaaAcha hizo
Bado inapaka mkorogo km demu
![]()
![]()
![]()
.....
Simba kapakatwa aisee.
Azam ina shida gani?
Kocha alikuja kwa mbwembwe sana yule wa azam.![]()
Kitendo chao cha kufungwa na kibonde kimekaribisha nuksi/bundi
Sasa tutaheshimiana
Azam hawana kocha
![]()
![]()
![]()
.......
Azam msimu huu majanga tuKocha alikuja kwa mbwembwe sana yule wa azam.
Alisema azam nzima mchezaji mmoja tu
Now 2.Azam msimu huu majanga tu
Manyumbu Utd wanaongoza 1
.....