Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mussolin tathimini yako ikoje baada ya ushindi wa leo
Tulicheza vizuri kipindi cha kwanza, kipindi cha pili hatukuwa vizuri.

Carrick ni mtu muhimu sana anapaswa kupewa muda kwenye kikosi Maana anajua kuituliza timu, si unajua safari bila wazee hainogi.

Point 3 za leo zitatu-boost kwenye mechi ijayo dhidi ya Arsenal.
Nafasi bado tunayo...
 
Kumbe tutacheza na ArsayNO
.....
 
Basi sawa.
ae995c553386de69841163e24e901f84.jpg
0b9aa0a8e8a4172d97a3fa24ed161f5d.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom