Makapuku Forum

Hakika
 
1962 - Abedi Pele anazaliwa.

Ni staa wa zamani wa Marseille, Lyon na timu ya taifa ya Ghana.

Ametwaa Kombe la Mataifa Huru ya Afrika mwaka 1982 akiwa na kikosi cha Ghana.

Pia ametwaa ubingwa wa Ulaya akiwa na Marseille mwaka 1993.

1986 - Kasper Schmeichel anazaliwa.

Ni golikipa wa Leicester City na timu ya taifa ya Denmark.

1992 - Marco Veratti anazaliwa.

Ni staa wa PSG na timu ya taifa ya Italy.

Kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao wa kumiliki mpira na kutoa pasi murua anatajwa kama Andrea Pirlo mpya.
HBD to all
 
Nani Alikuwa anataka kuwa prezdaa? Kambona???

Ingekuwaje wangefanikiwa???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…