Mbona matukio mengi tu kavurunda
Ndio maana nilisema mechi imemshinda mfano kipindi cha kwanza mpira umesimama km DK 10+(matukio yote) halafu nyongeza kuweka 4 ile first half
Silalamikii matokeo ....hakuna ligi ambayo timu inachukua tu ubingwa kila msimu
Ubingwa siyo habari mpya kwa Yanga
Simba akichukua ndo habari mpya maana ana ukame
Kuna dalili zote Simba bingwa msimu huu....GAP la pts 8 kubwa sana labda mzembee
.......