Makapuku Forum

Ni kweli makapuku hawajatukana mtu ,ila pitia huu uzi uone wanajiita wakongwe wanachosema ,kuna mmoja kasema makapuku ni wanuka mkojo sijui ,wakati kule kwenye forum ya makapuku sijaona sehemu wametukana mtu ,
Asante UncleBen
Wanaojiita wakongwe ndio wanatutukana wakati sie tupo na stories za maisha..hakuna matusi wala dharau kule ni kuheshim kila MTU bila kujal kajiunga Leo au 2008
 
tatizo hao makapuku wanakuja na thread za kipumbavu,kuna huyu kapuku anaitwa puppa thread,comments zake ni za ovyo
Nawewe uliingia kufanya nini hukooo? Au na wewe ni kapuku, mimi hata kufungua tu naona uzito because iam not kapuku and will never be one
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…