Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwani alikuwa hanja? .....naskia utemi ndio ilikuwa sifa yake miksa pombe nadhani ndizo zimemgharimu!!!
Jamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba.

Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia.

Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani.
 
36d1acf4b8333c6942493148925a49a7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom