Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah!!!

Nilikuwa nikisikia watu wakisifu Oman,Oman.

Sasa ndio kwanza ninawasili kwenye nyumba ya familia ya Bosi wangu,Mjini Muscat.Nilijisikia furaha sana Kwa ukaribisho wa shangwe toka kwa watoto wa Bosi.
Watoto walikuwa wakiniimbia kwa Kiarabu.

"Himaru Jadeed”
“Himaru Jadeed”
“Himaru Jadeed

Nilijisikia furaha mno,Nami nikajiunga nao na Kudansi

Baada ya miezi michache na jinsi siku zinavyosonga mbele nilijifunza Kiarabu.Nilipatwa na Mfadhaiko baada ya kujua kwamba

“Himaru Jadeed”

Maana yake ni Punda Mpya

Duh ! ! !
 
Hakuna namna we piga kazi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom