eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Nipo the book kwema kabisa sijui wewehabari yako mkuu?
Nipo the book kwema kabisa sijui wewehabari yako mkuu?
kwema,Hazard anasemaje?Nipo the book kwema kabisa sijui wewe
Huyu star wangu kawa mcharo sasa hivikwema,Hazard anasemaje?
sawa,unanipa ushauri gani?Huyu star wangu kawa mcharo sasa hivi
Yuko vizuri sana na ile 3-4-3 ndio inazidi kumfanya awe huru uwanjani
Sasa hivi anacheza nyuma ya striker
Amehama pembeni sasa
umesema??Makapuku wenzangu naomba kuuliza ...kweli watacheza wazungu au wadada zetu ni wabaya kuwekwa kwenye tangazo???View attachment 427271![]()
Huu ufala....ni sawa na kuweka picha ya Rinaldo utangaze ligi ya VodacomMakapuku wenzangu naomba kuuliza ...kweli watacheza wazungu au wadada zetu ni wabaya kuwekwa kwenye tangazo???View attachment 427271![]()
hawa azam hawana picha za wachezaji wa hapa?Huu ufala....ni sawa na kuweka picha ya Rinaldo utangaze ligi ya Vodacom
Wamewakosea sana dada zetu
Kweli Tz Taifa la ovyoovyo
...
Bongoland everything is possible..wanawaza mapato tuhawa azam hawana picha za wachezaji wa hapa?
Tii Efu Efu nao wameacha tu......
Shida ni kwamba hata tasnia yetu ya habari ni hovyo hovyo tu. Hakuna siku utakuta habari iliyonyooka hata huko magazetini.
Aiyetengeneza hili tangazo ni wa ajabu sana.Bongoland everything is possible..wanawaza mapato tu
Tunalalamika ubaguzi wa rangi wakati sisi wenyewe hatujikubali
Waafrika kweli tutatawaliwa na wazungu milele
Chunguza ht avatar za humu Jf
.....
Vumilia tu usihame hiyo ndio team yako tu pogba mpeni muda atafanya vyema tusawa,unanipa ushauri gani?
nihame Man U?
Wanashindwa kutafuta tukio lilipo.Shida ni kwamba hata tasnia yetu ya habari ni hovyo hovyo tu. Hakuna siku utakuta habari iliyonyooka hata huko magazetini.
sihami ng'oo.Vumilia tu usihame hiyo ndio team yako tu pogba mpeni muda atafanya vyema tu
Sisi chelsea msimu uliopita hali ilikua mbaya nafasi ya 10 ilikua aibu kubwa sana
Mpeni muda mourinho
Lakini pia aache kuwasema vibaya wachezaji
Wabaya au ??? Sijapendaaaumesema??

Aiyetengeneza hili tangazo ni wa ajabu sana.
Anaweza kumuweka Pogba kwenye La Liga![]()

waulize azam....Wabaya au ??? Sijapendaaa![]()
Itakuwa sio buree...waulize azam....
sijui wamechanganyikiwa.