Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Umenikosha sana Cobblepots asante aisee jamaa wamekuwa wababa siku hizi!! kuna kale kawimbo kao ka Please do go girl....aaah walikuwa wadogo sanaa. [emoji2]KAPUKU'S SPECIAL EDITION: BEST OF NEW KIDS ON THE BLOCK
Hapa wamekuwa wababa sasa.
2 in the morning.....
Summertime
Single ft Neyo
Hapa bado watoto wadogo. (Good Old Timez)
Mwanagalie Jordan mzee wa Swagger alikuwa mdogo balaa.
Step by step
I'll be loving you forever
Sweetiepie , Jimena , briz , shululu , Mussolin5 , Bitoz , jonax , werrason
Nimeyaona asante JJ!Magazeti ya leo jumapili yatawajia hivi punde tu
Poa sanaMamboz JJ?
Ila zamani walikuwa wakali kuliko sasaUmenikosha sana Cobblepots asante aisee jamaa wamekuwa wababa siku hizi!! kuna kale kawimbo kao ka Please do go girl....aaah walikuwa wadogo sanaa. [emoji2]
Sorry Bitoz nimeiquote hii.
Wapi old is ever gold?Nimeyaona asante JJ!
Hujamaliza tu!Asante, ngoja nijiandae
[emoji2] Usingizi niupate wapi, wakati MUFC inanipa pressure.jonax hulali?
Nenda Ofisi ya Serikali ya Mtaa ukaulizie ndo wanajuawadau mambo vp, ivi ofisi ya mbunge wa Arusha mjini ipo sehemu gani?
[emoji2] Na ndo nmetokea hukoHaha namuonaga kikofia.. Hatakagi ujinga [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] siku zote nabii hakubaliki kwao, basi ukinikita kona zangu jinsi nnavyotishia na kiwapiga mikwara member ni hatari.Kikofia ukimkuta kwenye kona zake, madaha +madoido
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Malizia...mfalme bitoz[emoji23]Mfalme tozi
Ule uzi wa mfalme wa morroco uliupata au nikuletee link hapa?Nenda Ofisi ya Serikali ya Mtaa ukaulizie ndo wanajua
.......
Jibu sahihi kabisaNenda Ofisi ya Serikali ya Mtaa ukaulizie ndo wanajua
.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] siku zote nabii hakubaliki kwao, basi ukinikita kona zangu jinsi nnavyotishia na kiwapiga mikwara member ni hatari.
Huku naonekana dogo ila kwa vile kule hawanijui basi huwa na mm nawaita "dogo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio tumetoka au?Hujamaliza tu!