Makapuku Forum

Makapuku Forum

bb07d5e6d2e92f0e7c6de670fd94ad8e.jpg
Uzi wa Mfalme wa Morocco ipo jukwaa gani? Nilisahau kusubscribe
.....
Hata sikumbuki mimi niliifuma tu tread, nafikiri ukii search kwa kuandika neno mfalme wa morocco itakuja
 
Mimi napitaga majukwaa mengi sema sitakagi kuchangia km wapenda sifa ambao kila thread wanareplu ili "_wafahamike"

Mi ht Great Thinker & Intelligence + Technology nipo sana ila kimyakimya namuonaga Kikofia anajambisha Jamii Intelligence
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Haha namuonaga kikofia.. Hatakagi ujinga [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom