Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Wakuu wazima, mniwie radhi kwa kushindwa kutokea jukwaani. Nilikuwa na ubize wa shughuli za kikazi.
Haina nomaWakuu wazima, mniwie radhi kwa kushindwa kutokea jukwaani. Nilikuwa na ubize wa shughuli za kikazi.
Pamoja sana kiongoziWakuu wazima, mniwie radhi kwa kushindwa kutokea jukwaani. Nilikuwa na ubize wa shughuli za kikazi.
Hiyo match, hata sijaitazama..Sana sana roho itakuuma
......
Sawa SOKOMOKOHiyo match, hata sijaitazama..
Nmeamua kulewa tu ili kurelease stress
Hivi hiyo fursa ya pesa unayoitangazia inahusu nn?Na ww pia
Embu nidokezee kabla sijaingiaWw ingia tu utaona na soma vizuri halafu utajua kwa undani
Niajeee brizjonax hulali?
Morning QuigleyMorning family
Yes sir, twende ibadaniMorning Quigley
Asante, ngoja nijiandaeYes sir, twende ibadani