Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Mkuu umefiwa na nan ako!Asante sana Ankali JJ
Pole
Mkuu umefiwa na nan ako!Asante sana Ankali JJ
Shemeji yangu kafiwa na mtoto wakeMkuu umefiwa na nan ako!
Pole
NimekuPMShemeji yangu kafiwa na mtoto wake
Poa poa ntakata ya bombadia mana naskia zenyewe zinaweza kuingia mpaka huku bushSasa hapo fanya mchakato wa round tiketi nije, manake umekuwa mbali muda mrefu sana
Ni gud bablai, niaje pande hizo!Huk mko gud
Huk ni hatarNi gud bablai, niaje pande hizo!
Mi niko poa mkuu, kwema pande hizo?Fresh habar yako
Niaje mbaba, habari za chuga??Briz na jimena naona leo mpo wote...safi sana
Hapo utakuwa umenitendea hakiPoa poa ntakata ya bombadia mana naskia zenyewe zinaweza kuingia mpaka huku bush
Hatari kivipi?Huk ni hatar
Niaje Bitoz?![]()
Za asubuhi?
........
Poa sana, twawajibika tuNiaje mbaba, habari za chuga??
kama kawa mkuuMi niko poa mkuu, kwema pande hizo?
Pole sana mkuu .Shemeji yangu kafiwa na mtoto wake
Fresh
Sikuazimi pamba
![]()
![]()
![]()
.....


pamba za nini huku? Hapa nilipo nimepauka kama kipande cha muhogoNafurahi kusikia hivyo mkuu, pambana..Poa sana, twawajibika tu
Ha ha ha ntakuletea mafutapamba za nini huku? Hapa nilipo nimepauka kama kipande cha muhogo