Makapuku Forum

SANI lilikuwa na waandishi wabunifu sana. Nilikuwa nategemea litakuwa gazeti kubwa baadae.
Nakumbuka Zena na Betina, kifimbo cheza, madenge, ndumilakuwili na kipepe nilikuwa siwakosi.
Profesa Ndumilakuwili
Pimbi mzee wa

Mapungo straika wa Bush Stars
Mzee Sikununu
Mzee Meko
N.k

Nilijirahidi kuleta katuni zao hapa ila nikaambulia chache
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…