Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1954 - Benjamin O. Davis anakuwa Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa Jenerali katika Jeshi la Ulinzi la Anga la Marekani.
Screenshot_2016-10-27-09-24-39.png
326cde07d4d9c73d9fde938e72223bf5.jpg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh!! Nitake radhi bhana..
Jimena,cwtp, patience 123 etc.. Mukuye huku kutoa ushahid eti iko mimi tongoza nyinyi!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii inaweza ikawa ni post ya jana ila ni muhimu ngoja niijibu tu. Mimi Hapana sijawahi kutongozwa na makaveli10 wala hata PM hajaingia.
 
Back
Top Bottom