Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,232
- 39,961
Iko bye![]()

Iko bye![]()

Katika hao huwezi kumsahau Steve Biko1917 - Oliver Tambo anazaliwa.
Alikuwa ni mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini.
Alikuwa ni mwanasiasa mashuhuri kutoka chama tawala cha ANC na mpigania Uhuru wa Nchi hiyo kando ya Nelson Mandela, Walter Sisulu na wwngineo.
Alifariki mwaka 1993 akiwa na miaka 75.
Kwaheshima yake, Uwanja wa Ndege wa Johannesburg umepewa jina lake na unajulikana kama Oliver Tambo International Airport.
We nae Avatar yako mbaya sana jamani mwe
sasa niko huku kwenye mapigano........bado sijaoga hapooNasubiria magazet yakoo.......ila niliwakumbuka sanaaWe nae Avatar yako mbaya sana jamani mwe
HBD1992 - Stephan El Shaarawy anazaliwa.
Ni mchezaji wa Roma na timu ya taifa ya Italia.
Kumbe hata miaka 25 hajafikishaa1992 - Stephan El Shaarawy anazaliwa.
Ni mchezaji wa Roma na timu ya taifa ya Italia.
1957 - Glenn Hoddle anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Tottenham, Chelsea na Monaco.
Pia ni kocha na aliwahi kuifundisha timu ya taifa ya England kwenye Kombe la Dunia mwaka 1998 kabla ya kujiuzilu mwaka 2000 baada ya kusema watu walemavu wapo na ulemavu kutokana na dhambi zao hivyo Mungu amewaadhibu.
Kauli hiyo iliibua mjadala mkubwa nchini Uingereza na ikapelekea Hoddle kupata shinikizo la kujiuzulu.
Morning sweetiee...Morning Mussolin
Niambie bablai...Morning guys
Asante dikteta kwa leo katika historia bora kabisaLeo katika Historia:
Leo ni siku ya 300 na zimebaki siku 65 kabla ya mwaka huu kuisha.
Kwa udhamini mnono wa Shululu, ankali ake Jimena, tukutane kesho, muwe na siku njema.
Adios Amigooo...
vya kutosha sana!Nafikiria tu alivyovuka vihunzi vya ubaguzi
Three star General
Weka pichaHii inaweza ikawa ni post ya jana ila ni muhimu ngoja niijibu tu. Mimi Hapana sijawahi kutongozwa na makaveli10 wala hata PM hajaingia.
Mkuu Bitoz saluti kwako kwa picha murua kabisa zinazoendana na matukio.
1992 - Stephan El Shaarawy anazaliwa.
Ni mchezaji wa Roma na timu ya taifa ya Italia.
Yap siku mingi sana, japo kwa mbindeKumbe tumeagiza kupenya siku nyingi