Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Ngapi ngapi
Ngapi ngapi
Hawa madogo maboya sana walitubania sisi leo wanapigwa hvi [emoji16] [emoji16] [emoji16] *****[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asante, imenibidi nirudi kuchungulia, kweli nimetupiaHongera kwa 123k
Manake naona umetupia kiulainiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhmm... Hapana mie niko pekee yangu.. Wee unamfukuzia mtoto wa padre wewe..
Mbona siku zote ulikuwa hutokei kanisani mpaka uliposikia mtoto wa mchungaji karudi toka masomon ulaya ndio umeeanza kuja kwa church..[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mje nakujua wewe mbatombato
Salama kabisa bro ShululuPoa poa mkuu, wewe vp
UpoYANGA bwana.
Pale ambapo unafuraha Yanga kashinda leo, ila badae Man U akipigwa na Man City magoli ya kutosha.![]()
Yanga ina mastraika wa4 hatari
.......
NIPO SIASANI...
Man U hafungwi[emoji4] [emoji4] labda hao YangaPale ambapo unafuraha Yanga kashinda leo, ila badae Man U akipigwa na Man City magoli ya kutosha.
Basi furaha yako yote inayayuka
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pale ambapo unafuraha Yanga kashinda leo, ila badae Man U akipigwa na Man City magoli ya kutosha.
Basi furaha yako yote inayayuka
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kweli ungenyang'anywa mchumba,angeenda mabibo Beach kupika kambale na ugaliPale ambapo unafuraha Yanga kashinda leo, ila badae Man U akipigwa na Man City magoli ya kutosha.
Basi furaha yako yote inayayuka
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yani akianza huyu Felain hatushindi kamwe, zaidi tutafungwa tuView attachment 424702
Namuona FALAini anapasha
Ataanza starting XI
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Nililiona hili mapemaKweli ungenyang'anywa mchumba,angeenda mabibo Beach kupika kambale na ugali