Makapuku Forum

Makapuku Forum

1917 - Oliver Tambo anazaliwa.

Alikuwa ni mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini.

Alikuwa ni mwanasiasa mashuhuri kutoka chama tawala cha ANC na mpigania Uhuru wa Nchi hiyo kando ya Nelson Mandela, Walter Sisulu na wwngineo.

Alifariki mwaka 1993 akiwa na miaka 75.

Kwaheshima yake, Uwanja wa Ndege wa Johannesburg umepewa jina lake na unajulikana kama Oliver Tambo International Airport.
 
1988 - Rais wa Marekani, Ronald Reagan anasimamisha ujenzi wa Jengo la Ubalozi la Marekani nchini Urusi baada ya kugundua vinasa sauti vilivyotegwa kwenye jengo hilo.
IMG_20161027_094758.jpeg
IMG_20161027_094739.jpeg
 
1917 - Oliver Tambo anazaliwa.

Alikuwa ni mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini.

Alikuwa ni mwanasiasa mashuhuri kutoka chama tawala cha ANC na mpigania Uhuru wa Nchi hiyo kando ya Nelson Mandela, Walter Sisulu na wwngineo.

Alifariki mwaka 1993 akiwa na miaka 75.

Kwaheshima yake, Uwanja wa Ndege wa Johannesburg umepewa jina lake na unajulikana kama Oliver Tambo International Airport.
HBD
 
Screenshot_2016-10-27-09-50-38.png
IMG_20161027_095141.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom