makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,022
- 104,628
Nadhan imebuma nchi nzima hata huku ndio yale yale.. Nmeishia kufatlia game kwenye net tuuMatokeo jamani, dstv imebuma, Sasa sijui ni kwangu tu au nchi nzima
Nadhan imebuma nchi nzima hata huku ndio yale yale.. Nmeishia kufatlia game kwenye net tuuMatokeo jamani, dstv imebuma, Sasa sijui ni kwangu tu au nchi nzima
Mata ni fundi full stopMata...japo hapangwi sana, ila akipangwa ni habari nyingine...
Hiv madrid klin shiti ni mwiko kwao eeh..
Ahsante mtani.Hongera kwa ushindi
Kwa lugha nyingine tunamuita fundi wa mpira...Mata anajua kutembea na mpira
Morning QuigleyMorning family