Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,262
- 68,336
Mkuu Bitoz kuna clip ya magoli 50 bora ya World cup itafute utaona goli la jamaa
Mkuu Bitoz kuna clip ya magoli 50 bora ya World cup itafute utaona goli la jamaa
Carlos Alberto akiwa Kombe la Dunia ambapo baada ya kuchukua kwa mara ya tatu, Brazil walipewa kombe hilo moja kwa moja.
Halafu juzi tu nimetoka kumzungumzia pale nilipokuwa namzungumzia Pele.View attachment 424261View attachment 424262View attachment 424263
chanzo cha kifo chake ni shambulio la moto(heart attack) alikuwa na miaka 72
..............
Dingii hii ni ya wapi aseenmekuwa bize kidogo kwa 7bu ya graduation ya mwanetu, hvyo karibuni sana![]()
Ahsante Jimena Jimenez kwa Magazeti.View attachment 424342View attachment 424343View attachment 424344
Kwa udhamini mnono kabisa wa Mussolin5 na leo katika historia orijino nami sina budi kukusanya kila kilicho changu.
Jina langu ni Jimena Jimenes
Ciao
Asante kwa magazeti AnkaliView attachment 424342View attachment 424343View attachment 424344
Kwa udhamini mnono kabisa wa Mussolin5 na leo katika historia orijino nami sina budi kukusanya kila kilicho changu.
Jina langu ni Jimena Jimenes
Ciao
Kweli kikongweLeo katika Historia:
1863 - Chama Cha Soka cha Uingereza F.A chaanzishwa rasmi. ( The Football Association )
Ndio chama kikongwe cha mpira Duniani.
Morning QuigleyMorning wapendwa
Kipindi cha mpito alibembelezwa sana2000 - Laurent Gbagbo anaingia madarakani kama Rais mpya wa Ivory Coast.