Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,270
Ila mwisho wake ulikuwa mbaya.Kipindi cha mpito alibembelezwa sana
Ila mwisho wake ulikuwa mbaya.Kipindi cha mpito alibembelezwa sana
1980 - Cristian Chivu anazaliwa.
Ni mcheza wa zamani Inter Milan na timu ya taifa ya Romania.
Alikuwepo katika kikosi cha Inter Milan kilichotwaa mataji matatu mwaka 2010 chini ya Jose Mourinho.
1961 - Uhuru Kenyata anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Kenya.
Pia ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Nchi hiyo, Jomo Kenyatta.
Uhuru tunamrudisha alipozaliwa (ikulu) ilikuwa ni kauli ya wakenya kipindi cha uchaguzi1961 - Uhuru Kenyata anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Kenya.
Pia ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Nchi hiyo, Jomo Kenyatta.
Mzee wa herememt1980 - Cristian Chivu anazaliwa.
Ni mcheza wa zamani Inter Milan na timu ya taifa ya Romania.
Alikuwepo katika kikosi cha Inter Milan kilichotwaa mataji matatu mwaka 2010 chini ya Jose Mourinho.
hahaha...Uhuru tunamrudisha alipozaliwa (ikulu) ilikuwa ni kauli ya wakenya kipindi cha uchaguzi
Asante nawe pia siku njemaLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Hillary Clinton niwatakie siku njema.
1959 - Evo Morales anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 80 wa Nchi ya Bolivia.
Nakumbuka juzi tu ulisemaView attachment 424416
Nimemtaja Carlos Alberto siku chache baadae anafariki, apumzike kwa amani.
Wanamarais wengi sana, inawezekana wakaongoza Duniani1959 - Evo Morales anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 80 wa Nchi ya Bolivia.
1947 - Hillary Clinton anazaliwa.
Ni mwanasiasa na mwanasheria toka nchini Marekani.
Ni mke wa Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton.
Kwasasa ni Mgombea Urais nchini Marekani kwa tiketi ya Democrats.
Kumbe mrefu kiasi
MAKAPUKU TOP VIBES: THE KINGSTON OUTBURST
1. Sean Paul ft Keri Hilson- How deep is your love
2. Chris Martin- Paper loving
3.Bruno Mars ft Damian Marley- Liquor Store Blue
4. Alaine- No Ordinary Love
5. Lucky Dube- Remember me
6. Daville ft Sean Paul- Always on my mind
7. Ziggy Marley ft Bobby Brown- Beautiful
8. Alaine - Rise in love
9. Sean Paul ft Keri Hilson- Hold my hand
10.UB40- Kingston Town
11. T.O.K- Foot Prints
CC: Jimena , makaveli10 , briz , Sweetiepie , QUIGLEY , Bitoz , Mussolin5
2000 - Laurent Gbagbo anaingia madarakani kama Rais mpya wa Ivory Coast.
Morng baba mchungaji!!Morning wapendwa
Unayo nini, usilete unguchiro nguchiro hapa..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mim ninayo bhana
, sio kwa kumeza huko vifungu..1994 - Nchi za Jordan na Israel zasaini mkataba wa amani baina ya Nchi hizo.
Fighter huyoo1980 - Cristian Chivu anazaliwa.
Ni mcheza wa zamani Inter Milan na timu ya taifa ya Romania.
Alikuwepo katika kikosi cha Inter Milan kilichotwaa mataji matatu mwaka 2010 chini ya Jose Mourinho.
1984 - Mtoto Baby Fae anapandikizwa moyo wa Nyani.
Hiyo ni baada ya moyo wake kushindwa kufanya kazi.
Anafariki mwezi mmoja baadae.