makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,610
- 108,984
Unatutusi waislam, tutake radhi bhanaMsikiti ili waislamu washindie huko...uzalishaji mali ushuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Hakuna mahala muislam kafundishwa agande msikitin 24/7, imeamrishwa kila muislam afanye ibada n then awahi haraka kwenda kujitaftia riziki.. Sala haichukui dk 10.