shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Niajeee mkuuFighter huyoo
Niajeee mkuuFighter huyoo
Kikofia vp, Leo inakuwajesenkyuu JJ
1979 - Park Chung-hee ambaye alikuwa ni Rais wa Korea Kusini anauliwa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Nchi hiyo Kim Jae-gyu.
Uongozi huwa una pressure sana
Majasusi ndio wanaongoza kwa kuua watu Duniani
Hapo dj alitisha sanaBoi... Umenikosha..
Anyway naona kitambo saana, tujuazane hali zetu kwanza kabla ya kuanza kufaid hii top kumi yetu
Unayo nini, usilete unguchiro nguchiro hapa..![]()
![]()
, sio kwa kumeza huko vifungu..

Morning mshirikaMorng baba mchungaji!!
Amen, nawe pia mussoLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Hillary Clinton niwatakie siku njema.
Apumzike kwa amaniNakumbuka juzi tu ulisema
Ni moja kati ya kazi yenye laana.Majasusi ndio wanaongoza kwa kuua watu Duniani
Bila kupepesa macho hii ni Chuga moja...Dingii hii ni ya wapi asee
Tunasubiri miujizaKikofia vp, Leo inakuwaje
Ngoja tuone na leo kama mtaendeleza kipigo cha magoli mengi, au nyie ndo mtafungwa magoli mengi.
