makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Kama weye tu mama watoto...Haaaa!!![emoji7] yani ni hatari huo, ndio nimeuangalia hapa Ciara anatishaa mbayaaa[emoji4]
Nikiusklza dizain kama wewe umeniimbia mie [emoji85] [emoji8] [emoji8]
Kama weye tu mama watoto...Haaaa!!![emoji7] yani ni hatari huo, ndio nimeuangalia hapa Ciara anatishaa mbayaaa[emoji4]
Kivip!?Hii nchi ya Romania siielewagi kwakweli!!
kwa nnHii nchi ya Romania siielewagi kwakweli!!
Asante Sana Mussolin 5!!Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bitoz aka Mzee wa Maktaba ya Picha ahsanteni sana.
Siku njema.
Mmh mi katumbo kake tu huwa kanani inspire....
HaaaahaaaaKafanana na Mr Bean zaidi ya Wenger
Duniani wawiliwawili
......
Kila mtu atakataa hajawahi kupiga kuraSijawah piga kura na sitawahi hata siku moja
Msubiri jimena akupe ukweli juu ya RomaniaHii nchi ya Romania siielewagi kwakweli!!
me sinaga hata kitambulisho mkuuKila mtu atakataa hajawahi kupiga kura
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Je kama ulikisahau bank au tigo pesa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]me sinaga hata kitambulisho mkuu
[emoji23] [emoji23] siasa kwangu haramuJe kama ulikisahau bank au tigo pesa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ntashukuru jiraniMsubiri jimena akupe ukweli juu ya Romania
Hata hivyo niliyempigia hakuchua basi tena nadhani mimi pia ndio mwanzo na mwisho.sio ubinafs n harakat
pole sana. ..... Matokeo yana pangwa Ndo siasa ya AfricaHata hivyo niliyempigia hakuchua basi tena nadhani mimi pia ndio mwanzo na mwisho.
Asante sana kwa historia mkuuLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bitoz aka Mzee wa Maktaba ya Picha ahsanteni sana.
Siku njema.
Kama wew ni mkushi wa ethiopia kule hakuna siasa[emoji23] [emoji23] siasa kwangu haramu