Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
wazee wa mawe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kafanana na mr bean, sijui ni mjomba wake huyu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kujaribu.. Viungo wa kingereza kwa kushuti tu hawajambo
wazee wa mawe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kafanana na mr bean, sijui ni mjomba wake huyu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kujaribu.. Viungo wa kingereza kwa kushuti tu hawajambo
kumbe n mwanaume [emoji15] [emoji15]
ushaur mwingine SioBaba yake mlezi ndio alimshauri?
Maadhimisho memaVip mwenzetu, mbona hvyo!?
2015 - Uchaguzi Mkuu unafanyika nchini Tanzania na kumuweka madarakani Rais John Pombe Magufuli.
Katika Uchaguzi huo wa aina yake, Edward Lowassa wa Chadema na Ukawa mgombea aliyekuwa na anaungwa mkono na walio wengi alishindwa katika Uchaguzi huo ambao ulitawaliwa na matokeo tete yaliyokuwa yanatangazwa na Tume ya Uchaguzi ( Nec ).
Hata monitor mwee?!! ubinafsi huo!!View attachment 423904View attachment 423905View attachment 423906
Sikuchafua kidole changu maana Afrika hakuna democracy
Sitapiga kura maisha yangu yote...tangu primary sijawahi kumchagua hata monitor
........
Kafanana na Mr Bean zaidi ya WengerKafanana na mr bean, sijui ni mjomba wake huyu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kujaribu.. Viungo wa kingereza kwa kushuti tu hawajambo
KigunduAnapiga sana mashuti.
Ila ni injury prone sana.
Huyu mbona anafanana na![emoji87][emoji33]
Anapiga shuti ubungo na chalinze..wazee wa mawe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya poa..Maadhimisho mema
Huwa sihangaiki kabisa na maswala ya kupiga piga kura mie..View attachment 423904View attachment 423905View attachment 423906
Sikuchafua kidole changu maana Afrika hakuna democracy
Sitapiga kura maisha yangu yote...tangu primary sijawahi kumchagua hata monitor
........
Ila kwa me bean naona ni watatu watatu..[emoji23] [emoji23]Kafanana na Mr Bean zaidi ya Wenger
Duniani wawiliwawili
......
Sijawah piga kura na sitawahi hata siku mojaView attachment 423904View attachment 423905View attachment 423906
Sikuchafua kidole changu maana Afrika hakuna democracy
Sitapiga kura maisha yangu yote...tangu primary sijawahi kumchagua hata monitor
........
sio ubinafs n harakatHata monitor mwee?!! ubinafsi huo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapiga shuti ubungo na chalinze..
Fix za Makaveli Jr. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaa!!![emoji7] yani ni hatari huo, ndio nimeuangalia hapa Ciara anatishaa mbayaaa[emoji4]Sweetiepie ukuje huku mamii..
Ciara ft ludacriss ride
"Yaan kabisa ndio unanimalizaga" diamond voice in kidogo
Hii nchi ya Romania siielewagi kwakweli!!Siku ya Majeshi ya Ulinzi nchini Romania.
Pambaaaafu.....ila kwa yanayoendelea sasa nafsi wala haijutii maana nilimkata2015 - Uchaguzi Mkuu unafanyika nchini Tanzania na kumuweka madarakani Rais John Pombe Magufuli.