Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
1987 - Darron Gibson anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Man Utd ambaye kwasasa anakipiga Everton na tinu ya taifa ya Ireland.
1987 - Darron Gibson anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Man Utd ambaye kwasasa anakipiga Everton na tinu ya taifa ya Ireland.
Hbd1987 - Darron Gibson anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Man Utd ambaye kwasasa anakipiga Everton na tinu ya taifa ya Ireland.
Too much mazoez..
[emoji15] [emoji15]Siku ya Majeshi ya Ulinzi nchini Romania.
Too much mazoez...
No place for Ronaldo.LA LIGA AWARD WINNETS
Mocha bora=Someone(Atletico)
Kipa bora=Jan Oblak(Atletico)
Mchezaji bora=Griezman(Atletico)
Beki bora= God in(Atletico)
Mshbuliaji bora= Messi(Barca)
Mchezaji bora LA liga wa dunia=Suarez(Barca)
Kiungo bora=Modric(Real)
Chipukizi bora=Asemsio(Real)
.......
Kafanana na mr bean, sijui ni mjomba wake huyu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aka Rubuva timu2015 - Uchaguzi Mkuu unafanyika nchini Tanzania na kumuweka madarakani Rais John Pombe Magufuli.
Katika Uchaguzi huo wa aina yake, Edward Lowassa wa Chadema na Ukawa mgombea aliyekuwa na anaungwa mkono na walio wengi alishindwa katika Uchaguzi huo ambao ulitawaliwa na matokeo tete yaliyokuwa yanatangazwa na Tume ya Uchaguzi ( Nec ).
1973 - Abebe Bikila anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanariadha toka nchini Ethiopia.
Asante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bitoz aka Mzee wa Maktaba ya Picha ahsanteni sana.
Siku njema.
Baba yake mlezi ndio alimshauri?Phillips aliambiwa achezee arsenal akalinga
Duh.. Kwa hyo siku 365 zishapita toka watu wapige kura[emoji15] [emoji15] .. Siku haziend bali zinaimbia duh2015 - Uchaguzi Mkuu unafanyika nchini Tanzania na kumuweka madarakani Rais John Pombe Magufuli.
Katika Uchaguzi huo wa aina yake, Edward Lowassa wa Chadema na Ukawa mgombea aliyekuwa na anaungwa mkono na walio wengi alishindwa katika Uchaguzi huo ambao ulitawaliwa na matokeo tete yaliyokuwa yanatangazwa na Tume ya Uchaguzi ( Nec ).
Vip mwenzetu, mbona hvyo!?[emoji15] [emoji15]
Sijajua kama wana unduguRIP Abebe
Bikila na Bekele ni ndugu?
Anapiga sana mashuti.Kafanana na mr bean, sijui ni mjomba wake huyu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kujaribu.. Viungo wa kingereza kwa kushuti tu hawajambo
2014 - Carlos Morales Troncoso anafariki Dunia.
Ni mwanasiasa na makamu wa Rais wa 34 wa Jamhuri ya Dominica.
Pamoja mkuuAsante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolin
Nawe pia siku njema
kwako piaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bitoz aka Mzee wa Maktaba ya Picha ahsanteni sana.
Siku njema.