makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,485
Morng johMorning famili
Morng johMorning famili
Adios mamacita......[emoji11]View attachment 423968View attachment 423969View attachment 423971
Kwa udhamini murua kabisa wa mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania sina la zaidi kutoka katika meza ya magazeti.
Jina langu ni Jimena Jimenes
Adios Amigo
And Thank you.View attachment 423968View attachment 423969View attachment 423971
Kwa udhamini murua kabisa wa mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania sina la zaidi kutoka katika meza ya magazeti.
Jina langu ni Jimena Jimenes
Adios Amigo
Hahahahaha...makonda wa magari yaendayo manchester bana....., manchester, manchester, manchester...pale nyuma wanne wanne pesa yako mkononi..HATUTAKAGI UJINGA SISI..wale makapuku wa Man u,ivii mlishapoa tayari????
Lowassa ni jembe....hana porojo porojo...ana busara ya hali ya juu mzee yule! anani inspire mno hakuzaliwa kwenye shida so hana ulimbukeni wa ajabu ajabu. Long live my meant to be President [emoji17][emoji120]Magazeti ya leo jumanne oct 25 yanawajia kwa hisani ya Lowasa mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwa sasa nchini Tanzania
View attachment 423938View attachment 423939
GraciasAdios mamacita......[emoji11]
Pamoja sana ankaliAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ, uwe na siku njema
Quigley uko vizuri...nchi yenye maziwa kwa wingi na asali iko poa...[emoji4]? (Rwanda)Sweet
Sasa mfalme wa morocco ameleta neema gani labda kwa mfano....
ShemlaaaMorng joh
Mi sijui kabisa, kifupi ni mgeni pande hizoSasa mfalme wa morocco ameleta neema gani labda kwa mfano....
anajua Jpm kwamba kaleta nnMi sijui kabisa, kifupi ni mgeni pande hizo
hahahahaha Ni sawa na kukataa lifti kwenye range rover ...eti kisa una miguu.... baada ya kutembea mwendo mrefu na kuchoka..... unakutana na baiskeli uniomba liftiSasa mfalme wa morocco ameleta neema gani labda kwa mfano....
Kwanza uliroa rambirambi msiba wa supastaa wa Jf?Mi sijui kabisa, kifupi ni mgeni pande hizo
Msikiti ili waislamu washindie huko...uzalishaji mali ushukeSasa mfalme wa morocco ameleta neema gani labda kwa mfano....
HapanaKwanza uliroa rambirambi msiba wa supastaa wa Jf?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana
We ulitoa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Quigley uko vizuri...nchi yenye maziwa kwa wingi na asali iko poa...[emoji4]? (Rwanda)
MsikitiSasa mfalme wa morocco ameleta neema gani labda kwa mfano....