shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Jirani kwenye ubora wakeHuyu wangu kiboko.. Na ndio maana nafaid pekee yangu, michepuko inamshindwa.. Na anajua kuwa shughuli pevu, ananipikia msosi mzito maprotein ya kutosha, mazoez asubuh na jion..
Lait kama mazoez ninayofanya ningekuwa sidinyi hata kidog au nadinya hawa wa nusuu saa kwake adhabu, hope ningekuwa the strongest man kwenye dunia hii