[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kutarajia!!!1951 - Claudio Ranieri anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Atletico Madrid, Monaco, Inter Milan, As Roma, na sasa Leicester City.
Kocha huyo wa kiitaliano maarufu kama " Tinker Man " msimu uliopita alishinda taji la EPL bila kutarajiwa na kikosi cha Leicester City.
Kazi fitna tu, haya ndi tukishakutana nao.. Labda barca na atletico kidogo, madrid ishakuwa supu ya mbwaaNataka kwenye hatua za mitoano Arsenal akutane na Barcelona, Madrid au atlentico.
Marekani Baya sana2011 - Kanali Muammar Gaddafi anafariki Dunia.
Alikuwa ni kiongozi wa Libya aliyedumu madarakani kwa miaka 42 na aliyeuwawa na waasi kwa msaada wa majeshi ya Nato.
Hee!!! Kumbe waliuawa siku moja!!!2011 - Kanali Mutassim Gaddafi anauwawa.
Alikuwa ni mtoto wa Kiongozi wa nchi hiyo na mshauri wa masuala ya Ulinzi katika Nchibya Libya.
Aliuwawa siku moja na baba yake baada ya mapambano makali dhidi ya waasi huko Sitre.
Iko ua kanali gadafi bhana...[emoji24] [emoji24] [emoji60] [emoji60]Marekani Baya sana
[emoji120] [emoji120] Thanks PapaaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Lionel Messi Messiah Computer La Pulga " Chawa ". Mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea Duniani nawatakia siku njema.
Poa poaDah!! Jambo zuri mkuu
Umekuwa mfalme mzee yusufu
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Aahh.. Huyo sio mtu mzur kabisa kwenye mambo ya upekupeku na kutandaza mbovu
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Aahh.. Huyo sio mtu mzur kabisa kwenye mambo ya upekupeku na kutandaza mbovu
Safi Boko haram[emoji52]Oya vip wewe banyamulenge..
Poa kiongozi, twawajibikaNipo ndugu yangu.. Vip hali!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiniletea vumbi la kongo aje na sanda kwa ajili ya huyu mtoto wa watu, maana hapa situmii vumbii balaa lake anaipoza kwa feni, ana lala masaa 20 kwa uchov wake.. Sasa vumbi si ndio ataenda mochwari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Owkey nnekuthoma PapaaUsimsikilize huyo tenteme tenteme
Akuye piem kuna mutu ako na kisado cha vumbi!!!Huyo ndio mwenye shida..
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sema unaitaka wewe bhana, usitumie migongo ya watu bure..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!! Katoa boko juu ya boko..
"Walibya wakamuua saddam, watuu ohhh.. No saddam ni wa kuwait"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfupa hauna ulimi
Nina like sana tu mie wala sina majivuno etii[emoji17]Jiulize wew una like?
Amen nimepokea kwa imani[emoji120]Mungu akupe mahitaji yako leo
Kennedy alijua kuchagua. Na alisifika sana kwenye wanawake.
Na iwe hivyo kwako na ulete mrejeshoAmen nimepokea kwa imani[emoji120]