1972 - Rapa Eminem anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Ziggy kipaj kidogo ....Damian ndo kipaj ktk hii family
1977 - Andre Villas-Boas " AVB" anazaliwa.
Ni kocha kireno wa zamani wa Porto, Chelsea, Tottenham na sasa yupo Zenit St. Petersburgh
Bonjour MonsieurBonjour papa
Tawiree kwako piaHaya ndiyo magazeti ya bongo kwa leo muwe na siku njema
Leo siku ya wanamuziki HBD wanamuziki1972 - Rapa Eminem anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Asante sana kwa magazeti ya leo mkuu QuigleyHaya ndiyo magazeti ya bongo kwa leo muwe na siku njema
Asenti dugu Muzolin 5Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Eminem, muwe na siku njema na wiki njema kwa ujumla.
Apumzike kwenye Uhuru Mama Theresa
Pamoko bablai.Asenti dugu Muzolin 5
Mh!!! Mzee uko nondo[emoji119]Tanzania tulikuwa nae miaka ya nyuma.
Stan Katabaro aliuwawa alipokuwa anafatilia sakata la Ngorongoro mwaka 1993 nadhani.
Kenya kuna jamaa wa Jicho Pevu ya KTN anaitwa Mohamed Ali nadhani
Ahsante kwa kumtambua huyu jamaa me nilimshtukia kitambo kwamba Yupo full masiNondoMh!!! Mzee uko nondo[emoji119]
David Robert Nesta Marley
Pamoja mkuuuMh!!! Mzee uko nondo[emoji119]
[emoji736] [emoji736] [emoji736]Tawiree kwako pia
[emoji120]Asante sana kwa magazeti ya leo mkuu Quigley
Hey mussoPamoko bablai.
Thanks khAghAmEHaya ndiyo magazeti ya bongo kwa leo muwe na siku njema