Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,081
Naona zile kona alizozipiga dhidi ya Leicester zimekuchanganyaPiga benchi Luke Shaw
Weka Daley Blind
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona zile kona alizozipiga dhidi ya Leicester zimekuchanganyaPiga benchi Luke Shaw
Weka Daley Blind
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Blind akicheza # 3 ana madhara refer to RVP world cup goalNaona zile kona alizozipiga dhidi ya Leicester zimekuchanganya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ok, ngoja tusubiri.. ila naona watabadilishana kwa sub hawaBlind akicheza # 3 ana madhara refer to RVP world cup goal
Shaw samtaimu anacheza kizembezembe tu
Tusubiri apangwe zen utaniambia jinsi atakavyopelekeshwa na Sadio Mane km akipangwa # 7
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi Diego CostaView attachment 419641[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Game saa ngapi???Ok, ngoja tusubiri.. ila naona watabadilishana kwa sub hawa
Kweli macho yako mabovuGame saa ngapi???
22:00Game saa ngapi???
Ana upunguvu wa vitamin AKweli macho yako mabovu
Nimeweka tangazo kwa picha hapo juu
20:00 GMT
Tafsiri mwenyewe
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Usingemwandikia 22:00 ungeacha tu ile GMT tumpimeAna upunguvu wa vitamin A
(Nightblindness)
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mutu ba Congo hapa kazinguaUsingemwandikia 22:00 ungeacha tu ile GMT tumpime
Kazoea ndondo lazima macho yazibe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Angeenda kibandani SAA 6 USIKUMutu ba Congo hapa kazingua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ifikapo saa 21:00 nitakuwa nmeshafika kibanda umiza(maiti) tayari kwa kushuhudia mtanangeAngeenda kibandani SAA 6 USIKU
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Owkey[emoji106]22:00
Missing you Bitoz......[emoji17]Angeenda kibandani SAA 6 USIKU
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Missing you kikofia....Ifikapo saa 21:00 nitakuwa nmeshafika kibanda umiza(maiti) tayari kwa kushuhudia mtanange
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkongo....missing youOwkey[emoji106]
Jiraniiiiiiii!! nimekumiss sanaaGrant na Ancelot
Diego costa kavunja rekodi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi Diego CostaView attachment 419641[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]