Makapuku Forum

Makapuku Forum

1968 - Graeme Le Saux anazaliwa.

Beki wa zamani wa kushoto wa Chelsea, Bkackburn Rovers na timu ya Taifa ya England.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Blackburn Rovers kilichotwaa ubingwa wa EPL msimu wa 1994/95 kando ya mastaa kama Alan Shearer, Chris Sutton, Tim Sherwood na Kocha Kenny Dalgish.
 
1943 - Gereza la Sobibor lafungwa rasmi.

Ni moja kati ya Magereza ya siri yaliyoendeshwa na Utawala wa Hitler, gereza hilo lilikuwa lipo nchini Poland ambapo Maelfu ya Wayahudi walipoteza uhai wao kwa mateso.
aa4ac9ae308447cf62019cc0cfc059a9.jpg
41adc181a409f3569730d8335e1721f7.jpg
IMG_20161017_085145.jpeg
 
Back
Top Bottom