Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
magazet ya bongo bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
magazet ya bongo bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1959 - Fransisco Froles Perez anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Nchi ya El Salvador.
Ghost writerHuyu Jamaa mambo yake huwa ya utata utata tu
Asante diktetaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Eminem, muwe na siku njema na wiki njema kwa ujumla.
Hapo n Yanga kaivimbia Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1968 - Graeme Le Saux anazaliwa.
Beki wa zamani wa kushoto wa Chelsea, Bkackburn Rovers na timu ya Taifa ya England.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Blackburn Rovers kilichotwaa ubingwa wa EPL msimu wa 1994/95 kando ya mastaa kama Alan Shearer, Chris Sutton, Tim Sherwood na Kocha Kenny Dalgish.
Alitata kugombea urais wa Haiti1969 - Wycleaf Jean anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka nchini Haiti.
AlishindwaAlitata kugombea urais wa Haiti
1968 - David " ZIGGY " Nesta Marley anazaliwa.
Ni mtoto wa Mwanamuziki wa zamani wa Jamaica, Robert Nesta Marley. ( Bob Marley )
1969 - Wycleaf Jean anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka nchini Haiti.
Shemeji yangu kwako ni shemeji tena kwako[emoji134]Nitamwambia, ila sasa wewe unaogopa kamwambia shemeji yangu, mpaka umtumie jirani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]