Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
HakikaKupishana ni kitu cha kawaida, kitu cha msingi ukijua mwenzako hapendi matusi acha
HakikaKupishana ni kitu cha kawaida, kitu cha msingi ukijua mwenzako hapendi matusi acha
Hata viwanda vitajengwa blaza kwa mwendo huuWacha tujenge nchi hahahahaha
Poa poaUmenena kwa hisia blaza nyangema naona hautaki sport sport [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kumbe leo kuna mechi tamu ngoja niendePoa poa
Naibuka baadaye kwa udhamini wa Azam v Yanga
.............
Mkwepa kodi awekwe chini hajaelewa kf vizuri, ku react imekua kawaida kwake...sisi tu famili huwa tunageuza udhaifu wa mwingine kwa maneno ya upoleHapa ni kapuku au maana ya kapuku huijui, utani hauwezi kujibiwa kwa tusi
Mbona sisi huwa tunaitana ndezi na hakuna mtu anajali kuwa katukanwa? Hii ni familia bora
Hatakiwi kukasirika, hadi kf kufikia hapa tumepitia mengi, hatimaye tu wamoja..aelewe hilomkwepa kodi ana hasira![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Quigley analetwa leo huko, kwenye gari anawazingua balaa, [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndiyo tunaendeleza sasa, ukishajua mwenzako hapendi kashifa au matusi basi acha, kuheshimiana ni kitu cha muhimu sana hata kama hatufahamiani, utani sio lazima uwe nakashifa au matusiHatakiwi kukasirika, hadi kf kufikia hapa tumepitia mengi, hatimaye tu wamoja..aelewe hilo
Cc mkepa kodi
AmenAman n tunda la Haki
Mkuu mimi napenda utani lakini sio kashifa au matusi, alianza jana, sikumjibu nikajua atanielewa kama sikupendezwa na utani wake, lakini karudia tena leo, kwa hiyo si kuwa na njia nyingine tena ya kufikisha ujumbeMkwepa kodi awekwe chini hajaelewa kf vizuri, ku react imekua kawaida kwake...sisi tu famili huwa tunageuza udhaifu wa mwingine kwa maneno ya upole
Mjumbe wa amani hawi hivyoWengine tunaingia Makapuku famili ili kuburudika, sasa mtu akikupa maudhi inabidi na wewe ungawie ili wote mlingane, kusiwepo na mtu aliyepunjwa hahahahaha
Kijana una hekimainabidi ujue kuficha hasira,ungemfuata inbox umuonye.............![]()
Mimi hapa ni familia yangu ya Makapuku, nikija hapa ujue nakuja kupumzika, sipendi ujinga hahahahahaMkwepa kodi hapa sio kwenu, so kuku hapa ni chakula kitamu cha anasa usijali
Karata yako iko upande upi hapo?Poa poa
Naibuka baadaye kwa udhamini wa Azam v Yanga
.............
Amani ni tunda la haki na kuheshimianaMjumbe wa amani hawi hivyo
Wewe unaturudisha nyuma, au kwa sababu tulitibuana jana?Kijana una hekima
Wewe hivi umetoka wapi?Mjumbe wa amani hawi hivyo
[emoji4] Thanks Papaa Quigley kwa mazageti, briz ako wapi Jimena???[emoji22]Mlikuwa nami quigley kwa udhamini mnono wa QUIGLEY CO.LTD iliyodhamini oparesheni MSAKE Jimena.
Tumemmiss jimena, sio kwa sababu ni muhim kuliko wengine, bali ni sehemu ya familia ya kf, uwepo wake na mchango wake ni muhim sana kwa uhai wa uzi huu, japo hata asipokuwepo uzi utasonga lkn twamiss mchango wake
Asanteni
Msake jimena
Mwiteni jimena
Muwe na j2 njema
[emoji87] [emoji86] [emoji85] [emoji134]Wewe ni mse.nge?