MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Anasema nilikimbia kama kuku, amewahi kuniona?Kafanyaje
Anasema nilikimbia kama kuku, amewahi kuniona?Kafanyaje
Soma vizuri posti ya huyo jamaa anatafuta ugomvi kwa lazimaSio kutukana hadharani sasa
Hizo ni hatua za kuelekea utatifuNyerere mpaka leo wanamzungusha kumpa utakatifu wanambakiza kuwa mwenye heri tu!
Mkuu unamungalia scorpion?, hahahahaha
Kilimo kwanza1945 - Shirika la Kilimo na Chakula Duniani ( FAO )laanzishwa huko Canada.
Uhai wa waarabu hauna thamani1951 - Waziri Mkuu wa Kwanza wa Pakistan, Liaquat Ali Khan anauwawa.
Wauaji kzn1964 - China yajaribu silaha yake ya kwanza ya Nyuklia.
Hatujambo shikamooo..nimefika,hamjambo humu?![]()
atakuwa alikuwa anataniaAnasema nilikimbia kama kuku, amewahi kuniona?
Hatumbo Kapuku mwenzetunimefika,hamjambo humu?![]()
wazma vip wwnimefika,hamjambo humu?![]()
Sasa mbona na mimi usichukulie hivyo hivyo, kuwa nilikuwa nataniaatakuwa alikuwa anatania
Hapa ni kapuku au maana ya kapuku huijui, utani hauwezi kujibiwa kwa tusiAnasema nilikimbia kama kuku, amewahi kuniona?
wazma vip ww
Hatujambo kabisa, vp bado hujaruhusiwa tunimefika,hamjambo humu?![]()
Vigezo vya. kuwa mtakatifu n. vpHizo ni hatua za kuelekea utatifu
mkwepa kodi ana hasiraHapa ni kapuku au maana ya kapuku huijui, utani hauwezi kujibiwa kwa tusi
Mbona sisi huwa tunaitana ndezi na hakuna mtu anajali kuwa katukanwa? Hii ni familia bora
bhas mmetaniana Hakuna tatizoSasa mbona na mimi usichukulie hivyo hivyo, kuwa nilikuwa natania
mimi ndo mhudumu naruhusiwa niende wapiHatujambo kabisa, vp bado hujaruhusiwa tu