Makapuku Forum

Makapuku Forum

1953 - Paulo Roberto Falcao anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Roma na Timubya Taifa ya Brazil.

Anachukuliwa kama mmoja ya wanasoka mahiri kuwahi kutokea nchini Brazil.

Alikuwepo katika Brazil iliyoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 1982 pale Spain, akiwa na Socrates, Zico ( Pele mweupe ) na Eder. Kikosi hiko kinatajwa kama Brazil bora iliyoshindwa kubeba Kombe la Dunia.

Radamel Falcao alipewa jina la Falcao na baba yake kwa heshima ya Mbrazil huyu.
Kumbe kuna Falcao OG.
 
0c18db9134c60294611105f1ce9e106e.jpg
 
Back
Top Bottom