MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
We mzee Ulikuwa wapi?Sikilizeni
...............
Km mtu hawezi UTANI aende jukwaa la siasa(Polifix Forum) ndo kunamfaa
Hapa tunataniana,elimishana,pigishana stori n.k
Kisichoruhusiwa ni ugomvi ,malumbano na matusi
Km mtu utani unamboa asepe aende jukwaa la siasa awaache wanaojua/weza utani
.............
........
....
....