MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Powa Kapuku mwenzetuMmeamkaje MAKAPUKU?
Powa Kapuku mwenzetuMmeamkaje MAKAPUKU?
Asante nawe piaWasalimie
Safi mkuu, mambo niaje..Jiran vp?
Poa mtu wangu, kndolu kwema?Safi mkuu, mambo niaje..
Asante kwa magazeti mkuu QuigleyMlikuwa nami quigley kwa udhamini mnono wa QUIGLEY CO.LTD iliyodhamini oparesheni MSAKE Jimena.
Tumemmiss jimena, sio kwa sababu ni muhim kuliko wengine, bali ni sehemu ya familia ya kf, uwepo wake na mchango wake ni muhim sana kwa uhai wa uzi huu, japo hata asipokuwepo uzi utasonga lkn twamiss mchango wake
Asanteni
Msake jimena
Mwiteni jimena
Muwe na j2 njema
Atakuja tuAje tu
Tuko poaMmeamkaje MAKAPUKU?
HaaaahaaaaRaia wa Simba Huyo
Last seen [emoji117] WednesdayMlikuwa nami quigley kwa udhamini mnono wa QUIGLEY CO.LTD iliyodhamini oparesheni MSAKE Jimena.
Tumemmiss jimena, sio kwa sababu ni muhim kuliko wengine, bali ni sehemu ya familia ya kf, uwepo wake na mchango wake ni muhim sana kwa uhai wa uzi huu, japo hata asipokuwepo uzi utasonga lkn twamiss mchango wake
Asanteni
Msake jimena
Mwiteni jimena
Muwe na j2 njema
Asante kwa taarifa najua sio mvivu, nimeandika kuonyesha hisia zangu tu, barikiwaLast seen [emoji117] Wednesday
Aliniambiaga yupo busy na sehemu ambayo hawezi kuchat
Kuna mambo yamembana ni kswaida tu hata mimi kuna muda nitakuwa sionekani sana sema bado ubize wangu haujaanza japo kuna kitu nafanya ambacho hakinizuii kuchatchat
.....
......
..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaaahaaaa