Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,025
- 16,135
Njema awamu ya tano inafanya niadimikeNi poa sana, za kupotea kaka?
Njema awamu ya tano inafanya niadimikeNi poa sana, za kupotea kaka?
Vipi lkn kwema huko?Ni poa sana, za kupotea kaka?
Huwa ni madogo sana sanaHv kama Singida inakunbwa matetemeko ya mara kwa mara, mbona sijawahi kuona/kusikia athar zozote zikitokea
Hapo ndio penye tatizo sugu.Siyo tatizo ila wanachokipata wakirudishe na nyumbani japo 20% tu
Na serikali iwape support
[emoji120] AppreciatesHuwa ni madogo sana sana
Si makubwa ya kiwango cha Kagera ndio maana husikii habari mbaya.Hv kama Singida inakunbwa matetemeko ya mara kwa mara, mbona sijawahi kuona/kusikia athar zozote zikitokea
[emoji41] Sasa wakirudi nyumbani wakiwa wamefeli, si ndo kuzidi kuiongezea familia mzigo?Hapo ndio penye tatizo sugu.
Ni wachache sana ambao hupakumbuka nyumbani wengi ni mpaka wafeli wakose dira ndio wanarudi makwao kuanza upya.
Ndio ila hujituma kwenye kilimo kisha wakivuna habari ni ile ile wanaondoka tena[emoji41] Sasa wakirudi nyumbani wakiwa wamefeli, si ndo kuzidi kuiongezea familia mzigo?
[emoji23] alaf wakifulia wanarudi tenaNdio ila hujituma kwenye kilimo kisha wakivuna habari ni ile ile wanaondoka tena
Ndio wengine kwa aibu hawarudi wanapambana hivyo hivyo wakiwa ugenini[emoji23] alaf wakifulia wanarudi tena
Na kwako piaJioni njema makapuku
Wamekula chumvi haoWajna na Tom wamezeeka kinoma
Mchango wa pensheni yao wandugu
Na kwako pia
Wamekula chumvi hao
Sidhani kama ni teknokojia imechelewa singida ila hakukuwa na uwekezaji mana wataalam wa ujenzi hata kama wapo nje ya singida lakini wanajenga popote tuTatizo ni utaalamu wa teknolojia kuchelewa maghorofa mengi yalikuwa ni below 3 floor
Duh! hii imetokana na nini?Sio rahisi kihivyo, sekta ya ujenzi imeporomoka zaidi ya 60%
Sidhani kama ni teknokojia imechelewa singida ila hakukuwa na uwekezaji mana wataalam wa ujenzi hata kama wapo nje ya singida lakini wanajenga popote tu
Ok lakini umenipata sio? Mana kiswahili ni kipana sana na maneno mengi yanashabihianaNeno KUHANGAIKA nalichukia sana...SEMA kushughulika mkuu