briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Amin [emoji120][emoji120]Basi Mungu ashukuriwe
Amin [emoji120][emoji120]Basi Mungu ashukuriwe
Ok poa poa ngoja nicheki na TUKI pia niongezee nyamaKuhangaika=hujui cha kufanya unagusa hili na lile.
Kushughulika= uko bize, umetingwa na kazi
[emoji23][emoji23][emoji23] kama bado hujampa ndo umpange tena ajue hapati..Yaani nilivyoambiwa tu kuna posho...nikaanza kuupanga mchepuko...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo neno..Labda alipewa uch kwa mkopo so kaenda kulip..
Kireno..uch[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo neno..
Kwema de kitabu, karibu ushushe nondo sasajamani humu kwema????
Kumbe wewe ni injinia!Sio rahisi kihivyo, sekta ya ujenzi imeporomoka zaidi ya 60%
Ewaa[emoji106]Neno KUHANGAIKA nalichukia sana...SEMA kushughulika mkuu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ewaa[emoji106]
Ashaivuta[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] kama bado hujampa ndo umpange tena ajue hapati..
Haha sasa inabidi u-assume kama umetoa sadaka tu ndugu mana hata kwa kumpigia magoti haiwezi kurudi [emoji4][emoji4]Ashaivuta[emoji15]
Akupe mechi nyingineAshaivuta[emoji15]
Kwemaa Yakheeeeejamani humu kwema????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeua... Lakini deni la mkuu wa kaya litakua liko pale paleAkupe mechi nyingine
Atalipa ya mkuu wa kaya, lkn apunguze maumivu ya marejesho kiwanjani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeua... Lakini deni la mkuu wa kaya litakua liko pale pale
Mechi nyingine maana yake mzinga mwingineAkupe mechi nyingine
TATAKI [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuhangaika=hujui cha kufanya unagusa hili na lile.
Kushughulika= uko bize, umetingwa na kazi
TATAKI [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
AmenAmin [emoji120][emoji120]