Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
[emoji12] Ok Japan tuitoe tuiweke Mbeya hapoUsifananishe Japan na Mikoa yetu kaka ni madaraja tofauti sana
[emoji12] Ok Japan tuitoe tuiweke Mbeya hapoUsifananishe Japan na Mikoa yetu kaka ni madaraja tofauti sana
Mbona kama ni Flr 4 tu na sio 9[emoji86] NIMECHEKA SANAA
eti ni kweli hili ghorofa(kubwa) kuliko yote Singida lina ghorofa tisa?View attachment 417461 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18028600
Jengo jipya Kubwa Singida hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa[emoji120] nmekupata mkuu
Cha msingi wanatakiwa wawekeze kwanza kwao kabla ya kuja kuwekeza Arusha,Mwanza,Moshi au Dar
Hilo jengo ni ghorofa 3, ila mkazi wa Singida amekuja kutudanganya hapa mchana mchana kuwa ni ghorofa 9Mbona kama ni Flr 4 tu na sio 9
Ila sio la watu, nila mtuNa hapo watu wamejitahidi na kujitutumua
Kwa sasa singida inakua kwa kasi ya ajabuHahahaha duh! Ila kwakua sa ivi huo mkoa upo karibu na makao makuu labda hayo magorofa yataongezeka
Sio rahisi kihivyo, sekta ya ujenzi imeporomoka zaidi ya 60%Hahahaha duh! Ila kwakua sa ivi huo mkoa upo karibu na makao makuu labda hayo magorofa yataongezeka
Usipojipenda ww kwanza mwenzako hatakupenda.Kabisa
Neno KUHANGAIKA nalichukia sana...SEMA kushughulika mkuuHata mimi pia, mihangaiko inanipoteza kidogo
Nyumbani kwanzaNa mkoa wa Mbeya uko kwenye bonde gani?
Pia Kagera[emoji2] Mbona Japani iko kwenye bonde la ufa ndo ma a inakabiliwa na na matetemeko ya ardhi mara kwa mara?
Mbona Mbeya pia iko kwenye binde la ufa?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbeya toka miaka ya 2000 ni jiji tofauti na Singida.[emoji12] Ok Japan tuitoe tuiweke Mbeya hapo
Mimi naona Babati inakuja kwa kasi sanaSio rahisi kihivyo, sekta ya ujenzi imeporomoka zaidi ya 60%
+ ground floorHilo jengo ni ghorofa 3, ila mkazi wa Singida amekuja kutudanganya hapa mchana mchana kuwa ni ghorofa 9
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nyumbani kwanza
Uko sahihi kiongoziPia Kagera
Karatu ni nzuri kuliko BabatiMimi naona Babati inakuja kwa kasi sana
Ground floor haihesabiwagi+ ground floor
Kagera imeji+Pia Kagera
[emoji2] basi KageraMbeya toka miaka ya 2000 ni jiji tofauti na Singida.